Share

Utani wa Mpoki Kuhusu Studio Mpya za WCB

Share This:

Mchekeshaji wa kundi la Orignal Comedy Mpoki yeye ameamua kufanya utani kuhuhsu Headquaters mpya za WCB baada ya kufanya vice versa kwa kuonesha nyumba ya udongo katika page yake ya instagram na kusema ni studio za wachafu wakati Diamond Platnumz alionesha mjengo mkali na kusema ni studio za Wasafi.

Leave a Comment