Share

Utani wa Spika Job ndugai kwa Bondia mtanzania Mwakinyo

Share This:

September 14, 2018 Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyeibuka na ushindi ndondi baada ya kumchapa mpinzani wake raia wa Uingereza Sam Eggington katika pambano lililochezewa Birmingham, alipata mwaliko rasmi katika Bunge la Tanzania, Spika Job Ndugai hakuacha kuvunja mbavu za wabunge kwa kuwatania watu wa mikoa mingine iliyoshindwa kutoa mabondia wa mifano ya Mwakinyo.

Leave a Comment