Share

Utashangazwa na aliyoyafanya Diwani mdogo Tanzania, wenzake wawili wamefariki

Share This:

Tunayo stori kutokea kwa Diwani wa Kata ya Kijichi, Eliasi Mtalawanje yeye akiwa ni Diwani mdogo Tanzania anayekaribia kutimiza umri wa miaka 28 mwisho mwa mwaka huu, lakini licha ya udogo wake amethubutu kutekeleza na kusimamia miradi mikubwa ndani ya Kijichi ikiwemo ujenzi wa Barabara za kisasa katika kila Mtaa, ujenzi wa Zahanati, shule, kituo cha Mabasi na soko kubwa la Kisasa.

Leave a Comment