Share

UTATA: PRODYUZA DUPA NA K LOH WALIVYOMGOMEA FOBY

Share This:

Msanii wa Bongo Fleva, K Loh na Prodyuza wake Dupa wamefunguka walivyotaka kukwamishwa kuachia ngoma mpya ya Ameniweza kutokana na kasoro alizozitoa msanìi Foby aliyeshirikishwa katika ngoma hiyo.

Leave a Comment