Share

Uturuki kuchunguza ubalozi mdogo wa Saudi Arabia Istanbul kuhusu Khashoggi

Share This:

Maafisa wa serikali ya Uturuki wamesema Saudi Arabia imekubali wafanye uchunguzi katika ubalozi wao mdogo ulioko Istanbul kuhusiana na kutoweka kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi

Leave a Comment