Share

Uturuki yachukuwa hatua kudhibiti mporomoko wa sarafu yake

Share This:

Uturuki imesema Marekani haitofanikisha chochote kwa kuiwekea mbinyo, na kuitaka nchi hiyo kuheshimu uhusiano wake na Uturuki kwa misingi ya urafiki wao wa jadi na ushirika wa NATO. Papo kwa Papo 13.08.2018.

Leave a Comment