Share

Uumaduni wa kushona nguo warejea kwa kasi Dar es Salaam. Kulikoni?

Share This:

Jijini Dar es Salaam baada ya muda mrefu wa kupungua kwa utamaduni na hamasa ya ushonaji nguo hali imebadilika na sasa utamaduni huu umerejea kwa kasi na ubunifu mpya. Tizama Video hii iliyoandaliwa na Ahmed Juma. Kurunzi: 24.05.2019

Leave a Comment