Share

UVCCM Dar kuja kidigitali, wazindua mfumo mpya ‘Kazi Data’

Share This:

UMOJA WA VIJANA CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, imeandaa mfumo wa mpya wa Kazidata (Databases) utakaosaidia kuwatambua vijana wa ummoja huo na kupata taarifa zao.

Leave a Comment