Share

UVCCM wazungumza juu ya ajali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha DSM

Share This:

Leo June 12,2018 tunayo story kutokea kwa Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Daniel Zenda ambapo vifo vya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waliofariki kutokana na ajali ya gari maeneo ya Riverside Ubungo Dar es Salaam.

Leave a Comment