Share

Vanessa, Tunda na askari 3 waingia kwenye list ya watuhumiwa wa biashara ya Madawa ya Kulevya

Share This:

RC Paul Makonda ameongeza majina mapya 3 ya askari wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya Madawa ya kulevya. Pia msanii Vanessa Mdee pamoja na Tunda video queen amewekwa kwenye list hiyo.

Leave a Comment