Share

Vichekesho: Kijana akionesha uwezo wake wa kuongea Kihindi

Share This:

Kijana akionesha uwezo wake wa kuongea Kihindi muda mchache baada ya kupita kwenye usahili wa SwahiliFlix wa kutafuta wasanii wataoigiza kwenye tamthilia mpya za kampuni hiyo.

Leave a Comment