Share

VIDEO CHAFU: Diamond na Nandy kukamatwa na polisi

Share This:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz jana Aprili 16, 2018 alikamatwa na polisi na kuhojiwa kuhusu video zake chafu alizosambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Leave a Comment