Share

VIDEO FUPI: Style ya nywele ya Aika iliyozua gumzo mtandaoni

Share This:

Watu wengi huamini kuwa ukiwa msanii unalazimika kuwa na style tofauti tofauti  ili kuleta upekee katika muonekano wako wa nywele, mavazi na hata kuongea wakati mwingine ili kutengeneza upekee wako.

Staa wa muziki kutoka Kundi la Navy Kenzo anayejulikana kwa jina la Aika amezichukua headlines leo baada ya kuamua kupost picha katika instagram account yake akiwa na style flani hivi ya nywele ambayo ni ngeni katika macho ya watu.

Leave a Comment