Share

Video Madereva wa bodaboda Rwanda wapimwa Corona

Share This:

Katika hatua ya kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona nchini Rwanda, serikali nchini humo imeamua kuwapima virusi hivyo waendesha boda boda ambao ni muhimu katika suala la usafiri nchini humo. Boda boda ni njia muhimu ya usafiri inayotumiwa na wengi mjini Kigali.

Leave a Comment