Share

VIDEO: TAZAMA BUS STATION YA KISASA, UNAKATA TIKETI MWENYEWE

Share This:

Ayo TV, millardayo.com inakuonesha Bus Station ya mji wa YIWU unakata tiketi mwenyewe na sehemu linapopatikana soko kubwa la bidhaa za majumbani la FUTIAN kunapatikana vifaa vya ujenzi pia linasambaza zaidi nusu ya mapambo ya Krismas Duniani.

Leave a Comment