Share

VIDEO: WAMBURA AKIPELEKWA GEREZANI, HATIMA YAKE FEBRUARI 14

Share This:

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM muda huu kwa ajili ya kusomewa mashtaka baada ya kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Leave a Comment