Share

Vijana wa Tanzania wanufaika na programu za kujitolea

Share This:

Ujerumani imekuwa na mfumo wa programu za mabadilishano ya kijamii baina ya nchi tofauti zikiwemo za Afrika. Vijana wanaonufaika hupata muda wa kuitembelea Ujerumani kushiriki shughuli za kijamii. Kurunzi Ujerumani.

Leave a Comment