Share

Vijana Watakiwa Kuanzisha Vikundi Ili Waweze Kupatiwa Mikopo

Share This:

Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu anayeshughulikia kazi ajira na vijana Antony Mavunde amewataka vijana mkoani Kilimanjaro kutimiza wajibu wao kwa kuanzisha kampuni au vikundi vitakavyowawezesha kupata mikopo serikalini.

Leave a Comment