Share

Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran

Share This:

Marekani yaiwekea tena Iran vikwazo, na kurudisha adhabu kali ambazo ziliondolewa kufuatia mkataba wa kihistoria wa nyuklia. Iran yasema hivyo ni vita vya kisaikolojia na kutaka kuligawa taifa hilo. Papo kwa Papo 07.08.2018.

Leave a Comment