Share

Vilio na Majonzi: Mwili wa Mzee Majuto wapokewa na maelfu Tanga

Share This:

Maelfu ya watu wajitokeza usiku huu hapa Tanga kuupokea mwili wa marehemu Mzee Majuto aliyefariki siku ya jana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mwili huo umewasili majira ya saa 6 usiku na kupokewa na maelfu ya watu waliojiandaa kumpokea mkongwe huyo wa filamu.

Leave a Comment