Share

Viongozi Wa CHADEMA Ruvuma Washikiliwa Na Polisi

Share This:

Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia viongozi sita wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kosa la kufanya maandamano na kuzua vurugu.

Leave a Comment