Share

Viongozi wa Sudan Kusini wasaini mkataba wa amani

Share This:

Kwa mara nyingine, viongozi wa Sudan Kusini Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wamesaini mkataba wa mwisho wa amani unaolenga kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo ambavyo vimedumu kwa miaka mitano. Hata hivyo bado kuna mashaka ikiwa mkataba huo utadumu au utavunjika kama ya awali iliyovunjika. #PapokwaPapo

Leave a Comment