Share

Viongozi wa UKAWA kutoa tamko zito wiki hii juu ya uchaguzi wa Zanzibar.

Share This:

Viongozi wakuu wanaounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wamekutana jijini Dar es Salaam na kufanya kikao kizito ambapo wanatarajia kutoa msimamo wao kuhusu Zanzibar mapema wiki hii.

Leave a Comment