Share

Vipaumbele vinne vilivyoombewa Bajeti Wizara ya Kilimo 2017/2018

Share This:

May 19, 2017 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Charles Tizeba aliwasilisha Bungeni Dodoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 akiainisha maeneo manne ambayo yamepewa kipaumbele katika utekelezaji wake akiomba kutengewa Tsh. 267.8b kama Bajeti Kuu.

Leave a Comment