Share

Vita dhidi ya ukatili wa kijinsia Tanzania

Share This:

Je umeshuhudia ukatili wa kijinsia ukitokea katika jamii au mazingira yako? Ni vipi changamoto hiyo inakabiliwa? Nchini Tanzania, kundi moja la vijana linatumia sanaa ya densi, sarakasi na michezo ya kuigiza kuelimisha jamii dhidi ya ukatili huo. Wanazuru mitaa na miji mbalimbali likiwemo jiji la Dar es Salaam kufanikisha kampeni hiyo.

Leave a Comment