Share

VITALU Ranchi ya Taifa, kilichofanyika baada ya miaka 10

Share This:

Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) ambapo baada ya miaka 10 imebaini kuwa baadhi ya vifungu vya Mikataba havina tija kwa kampuni na wawekezaji.

Kaimu Meneja Mkuu wa NARCO, Prof Philimon Wambura amesema kampuni iliingia mikataba ya uwekezaji kwenye vitalu katika ranchi zake.na wafugaji wadogo toka mwaka 2007 kwa nia ya kuwezesha wafugaji wa asili kufuga kibiashara.

“Baada ya miaka 10 kupita, tathmini ya uwekezaji imefanyika na kubaini kuwa baadhi ya vifungu vya mkataba havina tija kwa kampuni na wawekezaji,”amesema.

Leave a Comment