Share

Vituko na show ya Manfongo na Sholomwamba uzinduzi Ndondo Cup 2017 #Waletee

Share This:

Kama ni shabiki wa burudani ya soka la mchangani taarifa ikufikiea kuwa Sports Extra Ndondo Cup 2017 imezinduliwa rasmi leo June 17 2017 katika uwanja wa Kinesi Dar es Salaam, mchezo wa ufunguzi ulikuwa kati ya Stim Tosha dhidi ya Makuburi ambapo game ilimalizika kwa sare tasa (0-0). Michuano ya Sports Extra Ndondo Cup 2017 inashirikisha timu 32 lakini kabla ya game ya ufunguzi wa michuano hiyo ambayo tumeona mastaa kama Juma Kaseja, Abdi Banda wa Simba na msanii wa Bongofleva Madee wakihudhuria yalianza na burudani kutoka kwa wakali wa Singeli.

Leave a Comment