Share

Vituo Sita Vya Mafuta Kati Ya Saba Vyafungiwa Njombe

Share This:

Mamlaka ya mapato TRA wilayani Njombe imevifungia vituo sita vya mafuta kati ya saba vilivyopo wilayani humo kwa kosa la kutofunga mashine za kieletroniki za kukusanyia mapato.

Leave a Comment