Share

VYAMA 11 VYATOA MSIMAMO UCHAGUZI MITAA “MWENYE NJAA HASUSI”

Share This:

Kiongozi wa Vyama 11 vya Siasa visivyokuwa na Uwakilishi Bungeni, Abdul Mluya amesema kuwa hawawezi kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama Vyama vingine vitakavyofanya kwa sababu “Mwenye Njaa hawezi Kususa”.

Leave a Comment