Share

Vyumba vya kisiri vya mauaji vinavyotumiwa kuwanyamazisha wapinzani Burundi

Share This:

BBCAfricaEye: Maafisa wa zamani wa kijasusi nchini Burundi wanasema kwamba maafisa wa usalama nchini humo, wanasimamia maeneo ambayo watu wanazuiliwa na kuteswa kisiri ili kunyamazisha wapinzani.

Vyanzo vimeambia BBC kwamba ukandamizaji huu kwa sasa unatekelezwa kimya kimya.

Hata hivyo, serikali imekuwa ikikanusha ukikukwaji wowote wa haki za kibinadamu, na kukataa kuzungumzia lolote kuhusiana na tuhuma hizi.
#BBCAfricaEye #MauajiBurundi #Burundi #upinzaniBurundi #VyumbavyamauajiBurundi

Leave a Comment