Share

Waafrika Kusini wanaenda Kilimanjaro kusherehekea miaka 100 ya Mandela

Share This:

Moja kati ya stori ambazo AyoTV imekutana nazo ni pamoja na hii ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini ambao wamefika jijini Dar es Salaam na baadae kuelekea Kilimanjaro kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro, raia hao wamesema wamefikia maamuzi hayo kama sehemu ya kusherehekea kumbukumbu ya miaka 100 ya Nelson Mandela kwani kama angekuwa hai mwaka huu Mandela angekuwa anatimiza umri wa miaka 100.

Leave a Comment