Share

Waagizwa Kukamilisha Mradi Wa Umeme Vijijini Awamu Ya Tatu

Share This:

Naibu waziri wa nishati na madini Dr Medadi Kalemani ameagiza mradi wa usambazi umeme vijijini REA kukamilika ndani ya miaka miwili kwa mkoa wa Mwanza.

Leave a Comment