Share

Waandaji Wa Ziff Wapewa Ushauri

Share This:

Katibu mkuu wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Pofesa Elisante Ole Gabriel amewataka waandaji wa tamaza la muziki la Jahazi maarufku kama ZIFF kuwajengea washiriki uwezo wa kuandaa filamu zenye ubora ili kulitangaza soko la filamu kimataifa.

Leave a Comment