Share

Waandishi waitisha mgomo usio na kikomo baada ya mwandishi mwenzao kutekwa

Share This:

Leo January 12, 2018 taarifa ambazo zimeshika headlines kutokea nchini DRC Congo ni kuhusu waandishi wa habari nchini humo wameitisha mgomo usio na kikomo baada ya kutekwa kwa mwandishi mwenzao.

Leave a Comment