Share

Waasi Sudan Kusin Wakataa Makubaliano

Share This:

Waasi wa Sudan Kusini wameukataa mpango wa amani unaomrejesha kiongozi wao Riek Machar katika nafasi ya makamu wa rais, wakisema mpango huo umeshindwa kupunguza mamlaka ya rais Salva Kiir. Papo kwa Papo 09.07.2018.

Leave a Comment