Share

Waasi wa Kihouthi wadai kumuua Rais Ali Saleh wa Yemen

Share This:

Mapigano makali yaripotiwa kati ya wafuasi wa rais wa zamani wa Yemen, Ali Saleh, na waasi wa Kihouthi mjini Sanaa na Wahouthi wanasema kiongozi huyo ameuawa, Rais Donald Trump wa Marekani bado hajaamua rasmi kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na huko DRC, Human Rights Watch yasema serikali iliwatumia waasi wa zamani kuwavamia na kuwashambulia waandamanaji wanaompinga Rais Joseph Kabila. Papo kwa Papo 4.12.2017.

Leave a Comment