Share

Waburundi wapiga kura ya maoni

Share This:

Waburundi wanapiga kura ya maoni leo kuhusu mabadiliko ya katiba ambayo iwapo yatapitishwa, yatayaongeza mamlaka ya Rais Pierre Nkurunziza na kumuwezesha kuongoza hadi mwaka 2034.

Leave a Comment