Share

Wachimbaji Wa Madini Watakiwa Kushirikina Na Serikali

Share This:

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Salehe Mhando amewataka wachimbaji wa madini kuwa wawazi juu ya mapato wanayo yapata ili kuirahisishia serikali katika ukusanyaji wa mapatao yake.

Leave a Comment