Share

Wachina 19 na Watanzania 6 walivyofikishwa Mahakamani Kisutu

Share This:

RAIA 19 wa China na Watanzania 6, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Washtakiwa hao wanashtakiwa chini ya vifungu vya sheria ya uhamiaji, chini ya sheria ya watu ambao siyo raia wa Tanzania na uhujumu uchumi.

Washtakiwa hao ni Bo Song, Liu Yunley, Chen Chao Hui, Fu Zeng, Wu Hai Quing, Ke Qiu Fang, Frederick Kumalija, Jing Jing Lin, Ku Liao, Yan Yan Geng, Chen Ying Gong.

Leave a Comment