Share

Wademocrats warudi kwa kishindo

Share This:

Chama cha Democrats huko Marekani kimerudi kwa kishindo katika ulingo wa siasa kwa kupata ushindi mkubwa katika baraza la wawakilishi kikinyakua viti 222 zaidi ya 218 walivyohitaji kulihodhi baraza hilo.Chama cha Republican kilichokuwa kikihodhi mabaraza yote mawili ya bunge la Marekani kimebaki na ushindi wa baraza la Seneti.Ni ushindi unaoashiria hali ngumu itakayomkabili rais Trump katika ikulu ya Whitehouse.Papo kwa Papo 07.11.2018

Leave a Comment