Share

Wafahamu warithi wa Ronaldo Real Madrid na sababu tano za kuondoka

Share This:

wafahamu warithi wa Cristiano Ronaldo baada ya kuamua kuondoka kuitumikia klabu yake hiyo ya Real Madrid na kuamua kujiunga na mabibi kizee wa Turin Juventus ambapo amejiunga kwa mkataba wa miaka minne kwa uhamisho unaokadiriwa kuwa ni Euro milioni 100 ambapo Juventus walitoa taarifa kuwa kiasi hicho cha fedha kitalipwa ndani ya miaka miwili.

Leave a Comment