Share

Wagonjwa wa Kipindupindu jijini Dar es Salaam wafikia 130.

Share This:

Wagonjwa wa Kipindupindu jijini Dar es Salaam wamefikia mia moja na thelathini huku tatizo kubwa likitajwa kuwa ni wananchi kutozingatia usafi na kutiririsha maji machafu.

Leave a Comment