Share

Wahasibu watatu wa TTCL walivyofikishwa Mahakamani kwa kuiba Vocha/ Mil. 57.73

Share This:

Wahasibu 3 wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kuisababishia shirika hilo hasara ya Sh.Mil 57.73 kwa kuiba vocha za simu.

Leave a Comment