Share

Wahujumu uchumi wafikishwa Mahakamani Kisutu leo

Share This:

Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Alphonce Kalugendo na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu umeileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, sehemu kubwa ya upelelezi umekamilika bado maeneo machache.

Leave a Comment