Share

Waigizaji walivyotembelea kituo cha Rahma Orphans Iringa

Share This:

Ni headlines za wasanii kutoka tasnia ya filamu wakiongozwa na mwenyekiti wao, Steve Nyerere ambao Mnamo April 14 walifanya tamasha la Amka Kijana ambapo vijana wa mkoa wa Iringa walipata nafasi ya kujua maana kamili ya Sanaa pamoja na jinsi ya kukitambulisha kipaji kwa hadhira.

Leave a Comment