Share

Waigizaji walivyotembelea kituo cha Rahma Orphans Iringa

Share This:

Ni Headlines za wasanii kutoka tasnia ya Filamu wakiongozwa na mwenyekiti wao, Steve Nyerere leo waliweza kutembelea kituo cha watoto Yatima kiitwacho Rahma Orphans mkoani Iringa.

Leave a Comment