Share

Wajerumani enzi za ukoloni mjini Songea

Share This:

Mji wa Songea ulioko kusini mwa Tanzania ni miongoni mwa sehemu zenye historia kubwa ya mapambano ya wakoloni na waafrika. Vita vya maji maji vilipiganwa katika mji huu katika ya mwaka 1905-1907.

Leave a Comment