Share

Wakaazi wa kijiji kimoja India watembelewa na chui

Share This:

Chui mmoja aliyetoroka mbugani aliwahangaisha wakaazi wa mji wa Jalandhar nchini India na kuwajeruhi watu kadhaa kabla ya kukamatwa na walinzi wa wanyamapori

Leave a Comment