Share

Wakaguzi Wa Mazingira Watakiwa Kuzingatia Weledi Wa Kazi

Share This:

Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira January Makanba amewaagiza maafisa wakaguzi wa mazingira kufuata weledi katika kazi zao ili kufikia azma ya serikali ya kuwa na mazingira bora

Leave a Comment