Share

Wakaliwood ni Hollywood ya Uganda

Share This:

Wakaliwood ndiyo Hollywood ya Uganda. Katikati mwa Wakaliga, kitongoji kilicho katika mazingira duni katika mji mkuu wa Kampala, Isaac Nabwana amekuwa akitengeneza filamu kwa bajeti ndogo kwa miaka 8. Hivi sasa ni kama nyota wa kimataifa. Filamu zake zinatazamwa sana Youtube, hata waigizaji wa Hollywood walitaka kushiriki. Waganda wanaanza kugundua taratibu kwamba zipo filamu zilizotengenezwa nchini mwao.Fuatilia vidio ya Afrika Yasonga Mbele.

Leave a Comment